UTOAJI MIMBA NA HUDUMA BAADA YA KUHARIBIKA KWA MIMBA NCHINI TANZANIA
Kulingana na ripoti ya Guttmatcher, Tanzania ni kati ya nchi zenye uwiano wa juu wa vifo vya wajawazito duniani (410 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa wakiwa hai), na utoaji mimba usio salama ni moja kati ya sababu zinazoongoza. • Utoaji mimba usio salama unachangia zaidi ya theluthi moja ya wanaolazwa mahospitalini kutokana na matatizo yanayohusiana […]