Kulingana na ripoti ya Guttmacher, Tanzania ni kati ya nchi zenye uwiano wa juu wa vifo vya wajawazito duniani (410 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa wakiwa hai), na utoaji mimba usio salama ni moja kati ya sababu zinazoongoza.
| Zanzibar | 3,714 |
| Mashariki | 54,655 |
| Kusini | 23,465 |
| Kati | 21,923 |
| Kaskazini | 51,965 |
| Magharibi | 59,592 |
| Nyanda za Juu Kusini | 68,910 |
| Kanda ya Ziwa | 120,857 |
| Jumla (kitaifa) | 405,081 |
Makadirio yaliandaliwa na watafiti kutoka Taasisi ya Guttmacher, New York; Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, Dar-es-Salaam, Tanzania; na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Dar-es-Salaam, Tanzania, na kuchapishwa na Keogh SC et al., Matukio ya utoaji mimba na huduma baada ya kuharibika kwa mimba nchini Tanzania, PLoS ONE, 2015, 10(9):e0133933, doi:10.1371/journal.pone.0133933.
Your email address will not be published. Required fields are marked *